
WATER DISPENSER zinapatikana.
• Kifaa hiki maalum kitakurahisishia kuweza kupata maji kwa urahisi kutoka kwenye dumu, huna haja ya kuinamisha dumu.
• Kifaa hiki ni Cha kuchaji na kinakaa na chaji muda mrefu sana.
• Kabla ya kukitumia hakikisha unakiweka chaji mpaka kinajaa, chaji ikishajaa taa nyekundu inajizima.
• Dar es Salaam tunadeliver free, popote ulipo utaletewa bure mpaka ulipo.
• Mikoa yote ya Tanzania tunatuma, malipo ni baada ya kupokea mzigo wako.
• Lipia Ukishapokea mzigo wako (Cash on Delivery)
ZINGATIA: Tunapokea malipo yote pale tu utakapouona mzigo wako, haijalishi uko mkoani au uko Dar es Salaam.