Call/ WhatsApp/ SMS: 0742-786-967Mizani ya kupimia uzito wa madini

Sale price 50,000.00 TZS Regular price 60,000.00 TZS

Shipping calculated at checkout.

Mizani ya kupimia Uzito wa Madini

Hii ni mizani au scale maalum ya kupimia uzito wa madini ambayo inapima uzito kuanzia gram 0.01 mpaka gram 500.

Mizani/ Scale ni mpya na mizigo yetu yote tunaagizia nje ikiwa na ubora wa hali ya juu.

Mzigo upo wa kutosha, tunapatikana Dar es Salaam, tunadeliver bure kwa wakazi wa Dar es Salaam, lipia mzigo wako ukishakufikia.

Mikoa yote ya Tanzania tunatuma, lipia gharama za mzigo wako ukishakufikia.

GHARAMA ZA USAFIRISHAJI (KWA WALIOPO MIKOANI)

Gharama za usafirishaji ni Tshs. 5,000 kwa mikoa yote ya Tanzania. Mzigo wako ukishafika utalipia kwa WAKALA WETU gharama za mzigo wako ambazo ni Tshs. 50,000 pamoja na gharama za usafirishaji jumla itakuwa ni Tshs. 55,000 kamili. Malipo yatalipwa kwa wakala wetu waliopo mikoani baada ya kuuona mzigo wako.


Mikoa yote ya Tanzania tunatuma, gharama za mzigo lipia mzigo ukishakufikia na kuuona kwa wakala.

Pia kama una NDUGU au JAMAA aliyoko Dar es Salaam unaweza kumuagiza akakuchukulia kutoka kwetu.

YAKISHOP SEHEMU PEKEE AMBAYO TUNAJALI WATEJA WETU


Customer Reviews

Based on 9 reviews Write a review