Call/ WhatsApp/ SMS: 0742-786-967Night Vision Driving Glasses

Sale price 45,000.00 TZS Regular price 55,000.00 TZS

Shipping calculated at checkout.

Night Vision Driving Glasses zinapatikana


 • Mali Mpya, mzigo mpya umeingia.
 • Huna haja ya kuhofia tena taa zote za full kutoka kwa madereva wengine unapokuwa na miwani hii.
 • Endesha kwa usalama zaidi huku ukiwa unaona kila kilichopo mbele yako. Inazuia kila aina ya mwanga mkali.
 • Hutakuwa na hofu na taa zote za full ukiwa na miwani hii.
Kwa wateja wa Dar es Salaam:

 • Kwa wateja wa Dar es Salaam delivery ni free.


 • Utaletewa popote ulipo bila kutozwa gharama yoyote ya kuletewa, gharama utakayotoa ni ya miwani tu ambayo ni Tshs. 45,000 tu.
 • Kwa msaada zaidi usisite kutupigia muda wote kupitia 0742786967
 • Lipia ukishauona mzigo wako (Cash on Delivery).Kwa wateja wa mikoani:


 • Gharama za usafirishaji ni Tshs. 5,000 na gharama za miwani ni Tshs. 45,000. Utalipia jumla Tshs. 50,000 mzigo wako ukishafika na kuuona.

 • Mikoa yote ya Tanzania tunatuma, malipo yote yatalipwa ukishauona mzigo wako. Malipo yatalipwa kwa wakala wetu waliopo mikoa yote ya Tanzania.

 • Lipia ukishauona mzigo wako (Cash on Delivery).

 • Tupigie muda wote wakati wote kwa maelekezo 0742786967.
USIAGIZE IWAPO HAUNA UHITAJI NA BIDHAA, KUWA SERIOUS HII NI BIASHARA.


Customer Reviews

Based on 9 reviews Write a review