Call/ WhatsApp/ SMS: 0742-786-967Cheni, Bracelets, Pete Silver Original za Italy

Sale price 1,526,700.00 TZS Regular price 2,700,000.00 TZS

Shipping calculated at checkout.

Cheni, Braclets, Pete Silver Original za Italy.

Tunauza Cheni, Bracelets, Pete Silver Original za Italy kwa bei sawa na bure ya Tshs. 7,000 kwa gram 1.

Mzigo wetu ni wa uhakika tunaagizia nje, hakikisha kuna namba 925 kwenye kiungio.

Tunatuma mikoa yote ya Tanzania baada ya kuweka deposit ya silver unayoihitaji, tofauti na bidhaa nyengine silver unawekea deposit kwanza.