Call/ WhatsApp/ SMS: 0742-786-967Blue Light Blocking Glasses

Sale price 60,000.00 TZS Regular price 70,000.00 TZS

Shipping calculated at checkout.

Miwani hii maalum ya kuzuia mionzi hatari ya Kompyuta, Simu pamoja na TV.

Miwani hii itakusaidia kukukinga na mionzi hatari inayopelekea macho kuwasha, macho kutoa machozi, kichwa kuuma kila pale unapotumia KOMPYUTA, SIMU au TV.

Blue Light Blocking Glasses ndio mkombozi wako, mikoa yote ya Tanzania tunatuma, malipo ni baada ya kupokea mzigo wako.

Dar es Salaam tunadeliver free popote ulipo utaletewa mpaka ulipo.

LIPIA baada ya kuuona mzigo wako (Cash on Delivery).